Hafla ya Uzinduzi
RAIS Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbali mbali pamoja na wajumbe wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi kwenye picha ya pamoja mara baada ya halfa ya uzinduzi wa tume hiyo uliofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 04,2024
