Wasifu
CPA. David T. Tarimo
MjumbeNi mbobezi wa masuala ya Kodi kwa zaidi ya miaka 39. Amehudumu kama Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya PricewaterhouseCoopers (PwC) Tanzania, moja ya Kampuni Nne kubwa za Uhasibu na huduma za Kitaaluma duniani. Ameshiriki kwa kiwango kikubwa kushauri kuhusu uboreshaji wa mazingira ya ufanyaji biashara na uwekezaji nchini. Aidha, ni mlezi wa vipaji na ubunifu.
