Wasifu
CPA. Leonard C. Mususa
MjumbeNi Mwenyekiti wa Bodi wa Kampuni ya Bia Tanzania na Kampuni nyingine binafsi zisizopungua tano. Ana uzoefu wa zaidi ya miaka 45 katika ushauri wa kodi, biashara na ukaguzi wa mahesabu. Aliwahi kuhudumu kama Mkurugenzi Mkuu wa PricewaterhouseCoopers (PwC) Tanzania, moja ya Makampuni Manne Makubwa ya Uhasibu na Huduma za Kitaaluma duniani.
