Wasifu
Prof CPA Mussa J. Assad
MjumbeNi Profesa Mshiriki wa Uhasibu na Ukaguzi na Makamu Mkuu wa Chuo Msaidizi katika Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro. Aliyehudumu kama Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, na Mwenyekiti wa Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi Nchini. Ana uzoefu wa Utumishi wa Umma na Binafsi kwa zaidi ya miaka 36.
