Wasifu
CPA. Rished M. Bade
MjumbeNi mtaalamu wa Kodi aliyehudumu Serikalini kwa zaidi ya miaka 30 katika nafasi mbalimbali ikiwemo Kamishna wa Fedha za Nje Wizara ya Fedha, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), na Mkurugenzi Benki ya Biashara ya Baclays .
